Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Thu, Dec/01, 2022

DKT. MAHMOUD AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI AUSTRIA.

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya karume Zanzibar (KIST) Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi, ametembelea Chuo cha Aircraft Vocational kinachotoa mafunzo ya ukarabati  wa Ndege kilichopo katika Mji wa Langenlebarn Nchini Austria ikiwa ni muendelezo wa ziara yake kikazi.

 

Latest News

More

Upcoming Events

More Events