Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Wed, Nov/30, 2022

MKUU WA TAASISI KIST ATIA SAINI MAKUBALIANO YA PAMOJA MoU.

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST) Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi, akitia Saini Makubaliano ya Pamoja  (MoU) Baina ya KIST na Kampuni ya VACE Systemtechnik GmbH ya nchini Austria, makubaliano hayo yatahusisha  mradi wa ukarabati wa Karakana na Maabara za Taasisi ya Karume,(Modernization and Expansion of KIST).

 Utiaji Saini huo umefanyika jana Nchini Austria na kushuhudiwa na Balozi wa Tanzania Nchini Austria Mh. Salestine Joseph Mushi, Pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje kutoka Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar,  Bw. Yussuf Ibrahim Yussuf.

Latest News

More

Upcoming Events

More Events