Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Thu, Sep/01, 2022

KIST YATIA SAINI MoU NA ICDL

Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab (kulia)  wakikabidhiana hati za mashirikiano ya kuanzisha Kituo cha kutoa mafunzo na kutoa Vyeti vya Kompyuta vinavyotambulika Kimataifa, kushoto ni  Mwakilishi wa Taasisi ya Kimataifa ya  utoaji wa  Vyeti vya Kompyuta (ICDL) Peter Maina, na (wakati kati) ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe, Ali Abdulgulam Hussein, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrisa Muslim Hijja wa Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar .

Latest News

More

Upcoming Events

More Events