Call Us
+255 773 470 403
Email
info@kist.ac.tz
Posted: Fri, Nov/04, 2022

KIST YAPOKEA TUNZO.

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi akiwa katika Picha ya pamoja na Washindi wa Project mbali mbali kutoka Taasisi ya Karume pamoja na Wakuu wa Idara ya Taasisi hiyo katika  Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hija Mbweni Zanzibar.

Latest News

More

Upcoming Events

More Events