Mon, May 06, 2024
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi akigawa Cheti kwa Mhitimu wa Mafunzo ya Uandaaji wa Mitaala kwa Mkufunzi wa Taasis ya Karume .
Mafunzo hayo ya siku 10 yamefanyika katika Hoteli ya Visitor's Inn Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.