Recent News

MRATIBU WA MIRADI KUTOKA TAASISI YA TIKA ATEMBELEA KIST.

2023-08-17 07:31:28 category

Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Umekutana na kufanya Mzungumzo na Mratibu wa Miradi Tanzania Bi. Filiz Sahinci, kutoka Taasisi ya Turkish Cooperation and Coordination Agency (TIKA) ya nchini Uturuki,  ambae amefika kwa lengo la kuitembelea Taasisi, kuona maendeleo ya 3D studio, pamoja na kuona maeneo   ambayo Taasisi ya TIKA inatarajia kuleta ufadhili.