Wed, Jul 02, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi wa kwanza (kulia) akimpokea Mgeni Rasmin ambae ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika hafla ya uhamasishaji wa upandaji Miti Kitaifa, katika eneo la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST).