Fri, Sep 22, 2023
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) wanaosomea fani ya Civil and Transportation Engineering Degree mwaka wa pili , wakiwa katika ziara ya kimasomo katika Soko la Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi, kwa lengo la kujifunza kwa Vitendo mambo mbali mbali ya Ujenzi.