Wed, Jun 18, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosoma Fani ya Umeme, wakifanya Mtihani wa Vitendo, hii ni wiki ya Kwanza ya mitihani katika Taasisi ya Karume, kwa mwaka wa masomo 2024/2025.