Fri, Sep 22, 2023
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Liverpool (Liverpool University) Nchini Uengereza (UK), wakiutambulisha mradi wa SOLARCHILLER, ambao utarahisisha kuhifadhi mazao, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hijja katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.