MH. HUZAIMA AKABIDHI WATER SPENCER KISTSO

2023-02-20 12:33:58 category

Baadhi ya Wafanyakazi na Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Water Spencer kwa Serikali ya Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KISTSO), hafla iliyofanyika katika Taasisi hiyo Mbweni Zanziabar