Recent News

WANAFUNZI WANAOSOMEA UFUNDI BOMBA KIST WAJIFUNZA KWA VITENDO.

2023-08-23 08:03:12 category

Wanafunzi wa Mafunzo ya Amali (KVT) kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosomea fani ya Ufundi bomba (plumbing) mwaka wa pili, wakifanya matengenezo ya  Bomba za maji katika maeneo ya Taasisi ya Karume.