Recent News

KIST YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA ELIMU YA JUU GOMBANI –PEMBA.

2023-09-04 06:48:21 category

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karumé (KIST), Dk.Mahmoud Abdulwahab Alawi, amehudhuria katika hafla ya Ufungaji wa maonesho ya Wiki ya Elimu ya Juu Pemba katika Uwanja wa Gombani Chake chake Pemba.

Katika hafla hiyo Dkt. Mahmoud alipata fursa ya kumkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bw. Khamis Abdullah Said katika Banda la Taasisi ya Karume ili kuona huduma za elimu zinazotolewa.