WANAFUNZI WA KIST WAENDELEA NA MITIHANI

2023-03-02 03:44:25 category

Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosoma fani ya Laboratory Science and Technology Diploma mwaka wa Pili, wakifanya Mtihani wa Vitendo ikiwa ni miongoni mwa mitihani inayoendelea katika Taasisi ya karume.