Recent News

WANAFUNZI WA KIST WANAOSOMA UFUNDI UJENZI WAJIFUNZA KWA VITENDO

2023-08-23 09:33:35 category

Wanafunzi wa Mafunzo ya Amali (KVT) kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosomea fani ya Ufundi Ujemzi. wakiwa katika Mafunzo ya Vitendo, wakijifunza jinsi ya kuseti mbao kwa ajili ya kutengeneza nguzo za zege katika ujenzi wa Msikiti..

Mafunzo hayo ya Vitendo walifanya katika Msikiti wa Skuli ya Kinuni Mkoa wa Mjini  Magharibi.