Recent News

IDARA YA CIVIL ENGINEERING KIST WAPATA MAFUNZO.

2023-10-05 10:42:56 category

Wakufunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), kutoka Iadara ya Civil engineering wakipatiwa Mafunzo ya kutumia Mashine za Mbao zinazotumika Kutoboa, kusafishia, na kukata mbao.

Mafunzo hayo ya vitendo yamefanyika katika Wakshop ya mbao katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.