Fri, Sep 22, 2023
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), umefanya mazungumzo na Taasisi ya (Giz) kutoka Nchini Ujerumani inayojishuhulisha na masuala ya Maji ili kuona jinsi gani Taasisi ya Karume itashirikiana na Mamlaka ya maji Zanzibar (ZAWA) kwa lengo la kupata wataalamu wa kufanikisha miradi ya maji.