WAZIRI LELA AZINDUA MRADI WA AHUMAIN KIST.

2023-02-20 14:01:28 category

Mratibu wa Mradi wa Applied Human Intelligence (AHUMAIN) Ing. Dirk Van Merode akitoa utangulizi wa Mradi huo katika Ukumbi wa Mkutano wa Dokta Idrissa Muslim Hijja Mbweni Zanzibar.