Wed, Jul 02, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Zanzibar Muhandisi Shukuru Awadhi Suleiman akimkabidhi zawadi Mwanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), aliyemaliza elimu yake ya Ngazi ya Diploma, katika hafla fupi ya kuwapongeza na kuwaaga Wanafunzi hao