NAIBU WAZIRI WA ELIMU AFUNGUA MAFUNZO YA UKAGUZI WA MIFUMO YA TEHAMA.

2023-05-22 05:39:16 category

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Ali Abdulgulam Hussein akifungua  Mafunzo ya  UKAGUZI WA MIFUMO YA TEHAMA (Fundamentals of information System Audit), katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngalawa huko Bububu Mkoa wa Mjini Magharibi.