Sat, Jun 10, 2023
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mh Lela Mohamed Mussa, Leo ametembelea Banda la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), na kuzungumza na watendaji wa Taasisi hiyo, katika maonesho ya NACTVET yanayoendelea katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Karibu katika banda letu Tukuhudumie, Dirisha la Udahili lipo wazi.