Mon, May 12, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Viongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Karume waliofanya vizuri katika Masomo yao, kabla ya kuwakabidhi Zawadi ya Fedha iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Dt. Khalid Salum Mohamed, hii ni ahadi aliyoitowa akiwa Mgeni rasmin katika Mahafali ya tisa (9), ya Chuo cha Karume.