Recent News

HAFLA YA KUMUAGA MKUFUNZI KIST.

2023-11-13 05:50:06 category

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi, akimkabizi Zawadi aliyekuwa Mkufunzi wa Taasisi ya Karume , Bw. Walid K. Mohammed, katika hafla  ya  kumuaga , baada ya kumaliza utumishi wake, hafla iliyofanyika katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanziabr.