Wed, Jul 02, 2025
  Email: info@kist.ac.tz    
Baadhi ya Wafanyakazi, Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakipanda Miti katika hafla ya uhamasishaji wa upandaji Miti Kitaifa huko eneo la Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.