Recent News

KIST WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO WA E-OFFICE.

2023-06-17 09:31:29 category

Wawakilishi kutoka Taasisi ya Wakala wa Serikali Mtandao, wakitoa Mafunzo kwa Viongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), kuhusu Mfumo wa E-OFFICE, (kupokea na kutuma barua kwa njia ya Mtandao), hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dokta Idrissa Muslim Hijja  Mbweni Zanzibar.