Recent News

WAKUFUNZI WA KIST WAPATIWA MAFUNZO YA RISK MANAGEMENT.

2023-06-20 12:00:26 category

Leo Tarehe 20/06/2023 Baadhi ya Wakufunzi wa Idara mbali mbali katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakipatiwa Mafunzo ya RISK MANAGEMENT, kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kazi ambao utapelekea Taasisi ya Karume kufikia malengo yake ya kuleta maendeleo .

Mafunzo hayo yalifanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dokta Idrissa Muslim Hijja katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.