Fri, Sep 22, 2023
  Email: info@kist.ac.tz    
Phone:   +255 712-779-267    
Wanafunzi wa Mafunzo ya Amali (KVT) kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wanaosomea fani ya Ufundi bomba (plumbing) mwaka wa pili, wakifanya matengenezo ya Sinki la kunawia mikono katika maeneo ya Taasisi ya Karume.