Recent News

KIST WAPATA UGENI KUTOKA CHUO KIKUU CHA LIVERPOOL NCHINI UENGEREZA.

2023-06-13 12:52:24 category

Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Liverpool (Liverpool University) Nchini Uengereza (UK), wakiutambulisha mradi wa SOLARCHILLER, ambao utarahisisha kuhifadhi mazao, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hijja katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.